“Hivyo kitu ambacho kimeniweka mimi hapa ni kwamba nahitaji jambo hili lipatiwe majibu, nataka mtu huyu achunguzwe kwa umakini bila kuumizwa au kuvamiwa kutekwa. Nataka taarifa zake zote, nahitaji historia yake sahihi na kama kuna ndugu zake basi wapatikane, nahitaji kila taarifa juu ya ukuaji wake na maisha yake ya nyuma na nijue hizi habari yeye alikuwa anazipatia wapi. Baada ya hapo nitafanya maamuzi ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments