Hamza aliishia kujiambia , interesting huku akijawa na furaha kubwa. Mbinu yao ya mapigano ilikuwa ni ile ile ya yale masanamu kule kwenye kaburi la kale yaliokuwa yakitumia. Ingawa ubora wake haukulingana na yale masanamu ,lakini aliweza kujifunza sana undani wake kwa muda mfupi na kuweza kuitambua kwa mtu yoyote yule ambae anaitumia.
Hamza hakuwa na haraka ya kurudisha mashambulizi, alikuwa akienda mbele …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments