SEHEMU YA 273.
Goodbye my old friend
Regina mara baada ya Kuona yule muuaji alikuwa akimsogelea , haraka sana alisukuma mkono wake mbele kama vile alikuwa akijaribu kuzuia kitu na palepale aliachia nishati ya nguvu ya andiko la malaika kwa kadri alivyoweza.
“Huu, hu huu”
Nishati nyingi iliokuwa katika rangi ya blue na nyeupe ilisambaa nusu ya ofisi nzima na kufanya joto ghafla tu kushuka.
…Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments