SEHEMU YA 274.
Nusu mtu nusu Mashine – Roboti la kibailojia
"Nini!?" Himidu alionekana kuongea kwa nguvu.
"Huyu Saidi, ina maana hakufariki?"
"Sio tu hajakufa, bali amekuwa hatari zaidi awamu hii. Ameteka watu na kumtishia shemeji yako kuondoka naye kama anataka waendelee kuwa hai."
"Nini!? Bosi, unasema shemeji yangu katekwa? Kwa hiyo bosi, unafanya nini sasa hivi?"
"Nimekupigia ili umwambie Simba kwamba nitatumia mbinu zangu kudili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments