Tetemeko la moyo
Mara baada ya kusikia kauli hio , Regina palepale alijikuta uso wake ukifubaa mara moja. Kwanza hakuwahi kudhania kama Fabiani angedhamiria kumuua kweli.
“Inaonekana hukupanga kuondoka hili eneo ukiwa hai tokea mwanzo?”Aliongea Hamza huku akivuta pumzi ya masikitiko.
“Kwasababu yako sina kitu tena nilichobakiwa nacho. Hadhi yangu , heshima yangu , utajiri hata ufahari wangu kama mwanaume sina tena. Kwasababu umeyafanya maisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments