Reader Settings

SEHEMU YA 275.

“Ulikuwa wewe?!” Saidi palepale alijua kwanini alishindwa kumpiga huyo mwanamke wakati wa kupigana nae.

“Saidi umesema unatujua vizuri lakini mbona haujafanya uchunguzi wako vizuri kwa kila mwanachama wa Inferno na kujua uwezo wake ukoje?”Aliongea Rhoda huku akimwangalia Saidi kwa macho yaliojaa uchokozi.

“Master Asmuntis anahesabika kuwa muuaji namba moja duniani. Na mbinu yake ya kujibadilisha na kuvaa sura ya mtu ni kitu …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next