SEHEMU YA 275.
Mpango wa majaribio
Waliokuwa kwenye boti ni Yulia na Regina na Hamza , wengine wote walichagua kubakia kwenye kambi ya jeshi.
Wanawake hao wawili walikuwa wamekaa nyuma , huku Hamza akiwa ameshikilia usukani wa boti hio ya spidi.
Mara baada ya kuona Saidi na Lamla wamekwisha kuzingirwa juu ya deki ya boti ile. Hamza palepale alifyatuka kama mshale kutoka kwenye ile boti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments