“Kabla ya kuwa shujaa, lazima ujue kucheka.”
Asubuhi ya Ajabu
Mwanga wa alfajiri ulijipenyeza taratibu kupitia pazia la rangi ya maziwa lililokuwa limeachwa wazi usiku kucha. Miale yake ya kwanza ilimulika sakafu ya udongo laini, ikitembea kimya juu ya mikeka ya majani iliyochakaa kwa muda. Hewa ilikuwa laini, baridi na tamu kama mvua ya kwanza msimu wa vuli.
JackXavier alishakuwa macho, usingizi ulikuwa umemtoroka hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments