“Kama dunia ni darasa, basi uwanja wa ndege ni mlango wa mtihani.”
Asubuhi ya Kuondoka
Mwangaza wa jua ulipochomoza, anga la Dar es Salaam lilikuwa safi kama limenyooshwa kwa kitambaa cha dhahabu. Mawingu yalikuwa mbali kidogo, yakipepea mithili ya mashahidi wasioonekana waliokuja kumuaga JackXavier.
Alikuwa amevaa kaptura ya bluu, shati jeupe safi lililopigwa pasi kwa ustadi, na viatu vya ngozi vilivyombatana na soksi nyeupe, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments