Reader Settings

NB:KIPANDE HIKI KINA EXTREM VIOLENCE

Hamza, mara baada ya kusikia maelezo hayo kutoka kwa Regina, aliona kuwa ndio maana huyo kijana aliyeitwa Zackaria alikuwa na ujeuri sana, hadi wa kujaribu kumdhuru Irene. Ilionekana kuwa utajiri wa familia yake ndio ulimfanya awe na tabia hiyo.

“Hubby, unaenda kudili nalo vipi?” aliuliza Regina.

“Utajua baada ya kufika,” aliongea Hamza, ambaye macho yake yalikuwa ya kuogofya kwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next