Bazo alionekana kuelewa ishara ile na mara moja alikizamisha kisu kile kwenye shingo ya yule mwanamke na kukichomoa na palepale akapoteza uhai wake.
Mwanamke yule aliishia kupoteza uhai wake huku akishindwa kuelewa imekuwaje kila kitu kutokea ghafla hivyo , ni kama alielewa ule msemo wa kifo hakina taarifa.
Zackaria mara baada ya kuona tukio lile la mama yake kufa mbele ya macho yake kikatili namna …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments