Reader Settings

Mara baada ya kusikia sauti ya Afande Simba, Nyakasura alikunja sura.

“Kwani amesemaje? Hili suala limeisha, lakini naona viongozi wa juu wanapaniki. Halafu si mheshimiwa raisi tayari ametoa agizo kwamba akamatwe?” aliuliza Nyakasura.

Afande Simba alijikuta akijimiminia kinywaji kwenye glasi, akanywa kama maji kabla ya kuongea.

“Tumkamate! Kivipi tunamkamata? Usisahau ni siku chache tu zilizopita tulipokea taarifa kwamba yeye ndiye aliyemuua Dragon Knight Aulando—gwiji mwenzake,” …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next