“Ah! Sawa bro,” aliongea Haji huku akiangalia ule mfuko, kisha palepale akauchukua vizuri na kuyamwaga yale maua kwa kuyarusha hewani.
Awamu hiyo, mvua ya maua ilikuwa kubwa mno na kuwaangukia Hamza na Regina kwenye vichwa vyao.
Haji aliishia kuangalia chini na kugundua kwamba alikuwa amewafunika Hamza na maua mengi, na kujiuliza kama labda amekosea.
“Bro, samahani… sijazidisha?”
Hamza alijikuta tu akishangaa. Ilionekana Haji hakuwa anaelewa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments