Wakati mwingine, mwisho sio kuzimwa kwa mwanga, bali ni kuwashwa kwa mingine.
Kwa muda mrefu, Mshumaa wa Kati alikuwa nuru kwa wengi, lakini ndani yake alikuwa amebeba uzito wa kila kilio.
Aliwahi kusema, “Mimi si mwokozi wenu. Mimi ni kiangazi kinachowasha mashamba yenu ya matumaini.”
Lakini usiku mmoja, akiwa ameketi peke yake juu ya paa la nyumba ya matope aliyoijenga kwa mikono yake,
Aliangalia nyota. Kisha alilia kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments