Reader Settings

Mwanga haukufia kwa Mshumaa wa Kati—uliota ndani ya waliomgusa.

Miaka kumi imepita tangu mshumaa wa mwisho wa Aurora uwashwe hadharani.
Jiji limebadilika—majengo ya kioo sasa yamepandwa mizizi, teknolojia inaishi kwa maadili,
Na watu hawasahau tena majina ya watoto wao.
Lakini katikati ya mwanga huo, kuna kivuli kipya kinachoinyemelea jamii taratibu:
Wivu wa kizazi kipya.

Yua, aliyewahi kuandika maneno ya ujasiri wakati Mshumaa wa Kati alisingiziwa, sasa ni kijana mzima.
Anaendesha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next