SEHEMU YA 65.
Upande wa nyuma katika jengo hilo la makao makuu ya Dede kulikuwa na maegesho mengine tofauti kabisa , yaani kulikuwa na njia mbili za kuingilia ndani , upande wa mbele ambao Hamza walipaki gari yao na upande wa nyuma.
Wakati akiwa anafikiria baadhi ya mambo yake , Yulia aliisogelea gari yake ya Bentley upande wa nyuma na kufungua mlango kisha akaingia ndani.
“Nipeleke nyumbani”Aliongea huku akionekana kuchoka kiasi , hakutaka kurudi kazini kwake kabisa hivyo alitaka kwenda kupumzika.
Lakini sasa licha ya kutoa maagizo dereva hakuwasha gari kabisa na kumfanya amwangalie.
“Unaota nini….”Alitaka kufoka lakini mara baada ya kumwangalia dereva alijikuta akishikwa na mshangao.
“Kwanini ni wewe..?”
Dereva alikuwa tayari ashageuza kichwa chake na kwa mshangao ilikuwa ni Hamza ambae alikuwa na tabasamu lililojaa uovu tena akiwa na sigara isieleweke aliitoa wapi.
“Mrembo unaonekana kushangaa sana kuniona?”Aliongea Hamza huku akitoa moshi wa sigara.
“Dereva wangu yupo wapi?”
“Usiwe na wasiwasi nimefungia kwenye buti na kumpokonya sigara yake, amezimia tu ila hajafa”Aliongea Hamza na kumfanya Yulia kuanza kuhisi uoga kwenye moyo wake , Dereva wake hakuwa wa kawaida alikuwa ni Komandoo wa jeshi ambae amepitia mbinu mbalimbali za mapigano ya kale , sasa kama mwanajeshi anapigwa na kuingizwa kwenye buti ilimfanya kuwa na wasiwasi.
“Umejua vipi nipo hapa?”Aliuliza huku macho yake yakibadilika na kuzidi kuwa na ukauzu.
“Tokea niliposikia Eliza akilazimishwa kuja hapa nilijua tu kuna mtu anamwandalia mtego , licha ya kwamba kuna skendo nyingi ambazo zinamhusu mzee Laizer sijawahi kusikia inayohusu utapeli , ni mtu ambae anajali taswira yake mno hivyo asingekubali kuchafuka kwa kushindwa kulipa deni, lakini hata hivyo nilishindwa kukuona hivyo baada ya kutoka nilizunguka kuangalia magari ya kifahari yaliopaki ndani ya eneo hili , Tanzania haina matajiri wengi wa kutumia magari ya kifahari na nilivyoona lako nikakumbuka kule hotelini “
“Oh! Kumbe ilikuwa hivyo…”Aliongea Yulia huku akionyesha kutoonyesha mshangao , ijapokuwa ilikuwa sababu ya kutosha lakini mwishowe aliona uwezo wa Hamza wa kunusa hatari ulikuwa mkubwa.
“Yulia unaonekana kutokuwa na hofu kwa kugundulika ulichokuwa ukipanga , unadhani siwezi kukufanya chochote?”
“Unataka nipige makelele , unaweza kunikamata lakni huwezi kunifanya chochote labda kama unataka kupambana na familia yangu yote, isitoshe sijakufanya chochote , kama unataka kuendelea kuishi kwa amani ni bora usifanye kitu chochote cha kijinga”Aliongea Yulia huku akionyesha kujiamini na kumfanya Hamza kutoa tabasamu la uovu, alivuta moshi mwingi wa sigara na kisha akampulizia Yulia usoni na kumfanya aanze kukohoa.
“Unafanya nini , acha kuvuta misigara yako ndani ya gari yangu”Aliongea na Hamza alizima ile sigara na kisha aliruka kutoka kwenye siti ya dereva na kwenda siti ya nyuma na kumkandamiza Yulia kwa kumshika mikono yote miwili kwenye siti na kumwangalia kwa chini.
“Wewe unafanya nini ?”Aliuliza huku macho yake yakiwa yamejaa ukali.
“Hilo swali nataka kukuuliza wewe , unapanga nini kwenye kichwa chako?””
“Mimi?”
“Ndio wewe , najua kila kilichotokea leo ni mpango wako , ulitaka Eliza aje mwenyewe hapa ili umkamate kwa ajili ya kunitishia mimi , kwa maana hio ulikuwa ukinifuatilia kwa muda mrefu mpaka kujua nina mahusiano na Eliza”
“Kwahio vipi kama nimefanya , niue uone kitakachokutokea”
“Kuwa mgongwa wa akili haimaanishi huogopi kifo”Aliongea Hamza na kutanua kiganja cha mkono wake na kumshika Yulia sura kwanzia kwenye mashavu na kuanza kumminya.
“Arghhh..”
Alijikuta akilia kutokana na namna mashavu yake yalivyokuwa yakiminywa na kuumizwa na meno yake.
“Niachie wewe mshenzi”Aliongea kwa nguvu huku akijaribu kumng’ata Hamza lakini alishindwa , Hamza hakuwa akimuogopa hata kidogo , kwa kile kilichokuwa kikiendelea mtu wa nje angesema Hamza anabaka.
Hamza hakuishia kumminya mashavu tu alishika lipsi za Yulia na kuanza kuzisugua na kidole kiasi kwamba ni kama alihisi zilikuwa zikichubuka.
Yuia alijikuta akihisi kama vile mdomo wake ulikuwa ukiwaka moto na alianza kutetemeka mwili mzima, Hamza ni kama alikuwa akizisafisha zile lipsi ili kuondoa lipstick na baada ya kuona zimeng’aa alizikiss , kitendo kilichomuudhi zaidi Yulia kiasi cha machozi kuanza kujitengeneza kwenye macho yake.
“Kama lengo lako ni kutaka niwe upande wako , mbinu unazotumia sio nzuri , ukigusa watu ambao nawajali ni sawa na kugusa moto”Aliongea Hamza huku akicheka kidhihaka
“Kwahio nifanye nini , nikupe mwili wangu ndio uweze kuwa mtu wangu?”
“Unaweza kujaribu, isitoshe ni muda mrefu sijawahi kukutana na mwanamke bikra”Aliongea Hamza na palepale alipeleka mkono wake wa kushoto kwenye gauni la Yulia.
Yulia alikuwa amekaa na wakati anashambuliwa miguu yake aliitawanyisha na Hamza kuweka mguu wake katikati , hivyo ilikuwa ngumu kujibana tena na kitendo cha Hamza kupeleka mkono ilikuwa ni jaribio jepesi mno.
“Acha , acha, naomba uache”Aliongea kwa nguvu lakini licha ya hivyo mkono wa Hamza haukuishia njiani , uso wa mrembo huyo ulizidi kubadilika .
“Wewe mshenzi nitakufunga , hujui nguvu ya familia yangu…”Aliongea lakini kilichosikika ni nguo yake ya ndani kuchanika, lakini ajabu kwa Hamza ni kwamba licha ya mwanamke huyo kutotaka kuguswa lakini nguo yake ilikuwa imeshaloa muda mrefu.
“Mhmh!.. huyu anaonekana kuwa mwanamke aliejiandaa kubakwa”Aliwaza Hamza kifedhuli.
“Mshenzi wewe….”Aliongea huku akimwangalia Hamza kwa macho makali , kwenye maisha yake hakuwahi kufanyiwa hivyo , alitamani kumshikisha adabu Hamza palepale.
Upande wa Hamza hakujali hata kidogo , alichukua ile nguo ya ndani alioichana na kumwekea Yulia puani , ni kama anamwambia nusa unyevunyevu wako.
Yulia kitendo cha kunusa harufu ya uanamke wake alijikuta akiona aibu kiasi cha kutaka kupotea ghafla , lakini licha ya aibu alijikuta akipatwa na msisimko wa ajabu ni kama kitendo kile kilimfurahisha.
“Hamza kama unataka kuniua niue tu , usidhani nitakuogopa baada ya hili”
“Kukuua wewe ni kujitafutia matatizo tu , siwezi fanya hivyo”Aliongea Hamza na kumgeuza Yulia na kumlaza katika siti zote za nyuma na kumuweka staili ya kifo cha mende.
“Wewe unafanya nini?”Aliuiza huku akionyesha kupaniki , hakuamini Hamza anakwenda kumfanya wakiwa kwenye gari.
Lakini alichokiwaza kilikuwa tofauti mara baada ya kumuona Hamza akitoa simu yake na kuweka upande wa Kamera na kisha kulipandisha gauni lake.
“Ahhhhhhhhhhhhhhhhhh.. nakuomba tafadhari uache..”
Yulia alijua hakuwa na kitu chochote kilichobakia kwenye mwili wake kuficha sehemu zake za siri na kingine hakuwa amejiandaa hivyo eneo lake kutokuwa na hali nzuri , sasa kupigwa picha kama hivyo ni kitu ambacho hatotaka kije kuonekana kwa mtu yoyote yule.
“Kwasababu unadhani familia yako inakujali sana na wanawweza kufanya chochote , ngoja nikurekodi kidogo , umenichokoza mwenyewe hivyo ni wakati wako wa kukabiliana na matokeo”Aliongea Hamza na kisha alianza kubonyeza kitufe cha kupigia picha na kurekodi.
“Mwanaharamu wewe , nitakuua kwa kifo kibaya sana”Alilaani huku moyoni mwake akijiambia atakuja kulipiza maara mia ya kile anachofanyiwa.
Dakika ambayo Hamza alimwachia na kurudisha simu yake alikutana na kibao kikali kutoka kwa mrembo huyo lakini aliweza kukwepa kabla hakijamfikia na kumshika mikono kwa mara nyingine na kumkadamiza kwenye siti.
“Yulia huwa sipendi kuchokozwa hivyo nakuambia acha mara moja , kama unataka kutafuta mtu wa kucheza nae tafuta lakini sio mmi , nadhani huelewi unacheza na mtu wa namna gani”Aliongea Hamza huku akiwa siriasi.
“I am sorry , huwa napenda kushindana , nilitaka kujua wewe ni nani basi… ni bora uniue leo hii la sivyo nitakupigisha magoti na kuomba msamaha kwa ulichonifanyia leo”Aliongea Yulia huku akiwa hana hofu kabisa na kumfanya Hamza kushangaa , alijua kwa kumfanyia hivyo mwanamke huyo angeogopa lakini matokeo yake alionyeshewa ukiburi na uchizi nje ya matarajio yake .
Ukweli ni kwamba kama sio kwa Yulia kumfanyia hila pengine angeanza kumpenda maana alikuwa mwanamke mrembo mno , Yulia alikuwa na mwonekano uliojaa sumu akikutega kama huna uwezo binafsi wa kushindana na hisia lazima uingie kwenye mtego wake na hio ndio ilikuwa siraha yake kubwa , aliwamaliza maadui zake kwa staili hio.
“Hii Video chukulia kama onyo , usije kujaribu tena kucheza michezo yako na watu wangu wa karibu, la sivyo nitakuharibia Yulia na hata familia yako haitoweza kufanya chochote kukusaidia”Aliongea Hamz ana kumfanya Yulia kuishia kumwangalia Hamza huku akifikiria namna ya kudili na swala hilo , lakini katika nafasi aliokuwepo aliona hana uwezo wa kufuta
“Nimekuelewa kwaleo tufanye umeshinda”Aliongea Yulia na kumfanya Hamza kupumua kwa ahueni , alijiambia kama angetaka kumuua Yulia basi moja kwa moja angejiingiza kwenye matatizo makubwa.
“Matumaini yangu huu ushindi utadumu milele”Aliongea Hamza huku akijiandaa kushuka lakini ghafla tu mabomu ya machozi yalirushwa karibu na gari lao na kulipuka
“Ulikuwa umendaa mpaka huu mpango?”Aliuliza Hamza kwa mshangao.
“Hapana hii sio mimi”Aliongea na Hamza alifikiria kwa sekunde na kisha alimwangalia.
“Bakia ndani ya gari usishuke , ngoja nione nini kinaendelea”Aliongea Hamza na akashuka muda uleule.
Eneo lote kuzunguka walipo kulikuwa na moshi mzito wa mabomu kiasi cha kupelekea usione kinachoendelea
Hamza akiwa amefunikwa na ule moshi ghafla tu alihisi vitu kama nyota vinavyozunguka vikimsogelea kwa kasi.
“Shurikeni !!!” Aliongea Hamza mara baada ya kugndua nyota hizo ni visu ambavo vinafahamika kwa jina la kijapani kama Shuriken.
Nyota hizo zilitokea kila upande juu chini na pembeni vikitaka kummaliza mara moja Hamza pale alipokuwepo.
Yulia mara baada ya kuona tukio lile alishindwa kujizuia na kutoa macho huku mkono ukiwa mdomoni , alitaka kumwambia Hamza lakini alikuwa amechelewa.
Lakini Hamza ni kama alitegemea kwani palepale alinyoosha mikono yake miwili huku akipiga sarakasi ya kuzunguka mikono yake ilipiga makofi na kila alivyokuwa akifungua kiganya chake vile visu vilidondoka chini , ilionekana alikuwa akividaka kwa kuvishikilia na viganja vya mkono na kuvikwepa kwa wakati mmoja , ilikuwa picha ya aina yake kwa namna alivyokuwa akiuzungusha mwili wake kwa wepesi na ustadi wa hali ya juu kudaka baadhi ya shurikeni.
Hamza hakuishia pale kitendo cha waliokuwa wakirusha vile visu kuchelewa kidogo tu ni kama walimpa nafasi kurusha kimoja alichoshikilia upande wa kushoto kwake na kilichosikika ni mguno wa maumivu , muda ule moshi ulikuwa umepungua na alionekana Ninja aliekuwa amevalia mavazi kama kanzu nyeusi na Nikab kinyota kikiwa kimeingia kwenye Koromeo lake na damu zilikuwa zikiruka kama bomba.
Maninja wengine wawili walikuwa wakimuona Hamza vizuri na hawakuishia pale tu walianza kumshambulia Hamza na visu vilivyokuwa kama mshale lakini muda huo Hamza hakukwepa tena kwa sarakasi bali katika eneo ambalo alikuwa amesimama ni kama vile imebakia picha yake tu kwani visu vile vilimfikia lakini havikumchoma zaidi ya kupita, ilikuwa ni kama wanarushia Holograph ya sura ya Hamza.
Walizidi kumshambulia Hamza mara baada ya kuhisi anawasogelea lakini ukweli ni kwamba walichokuwa wakiona sio Hamza, mpaka wanakuja kujua hilo Hamza alikuwa ameshawafikia.
Hamza mara baada ya kumsogelea aliekuwa mbele ili kumpiga alijikuta akiishia kushika kitambaa cha nguo tu pekee.
“Wow!! Kazi nzuri”Aliongea Hamza mara baada ya kumkosa wa kwanza na muda huo alijua walikuwa wakitumia mbinu za kininja ili kukwepa kukamatwa.
Hamza mara baada ya kugundua hilo alifumba macho na kuanza kupima mabadiliko ya mkondo wa upepo kwa kutumia hisia.
Moja ya sifa kubwa ya maninja wenye mafunzo ya hali ya juu ni kwamba wanashambulia wakiwa wanatembea kwa kasi mno , ikiwa shabaha yao ipo katikati wanatengeneza duara na kushambulia wakiwa wanazunguka kwa spidi kubwa na hapa bila mafunzo ya hisia huwezi kuwazidi maana huwezi kujua wapo upande gani na unaweza kushitukia wote wamekimbia na anekuzunguka ni mmoja tu.
“Hapa..!!”
Aliongea Hamza ambae alikuwa akizunguka zunguka pia na mguu mmoja na kitendo cha kuongea vile alisogea kwa spidi na kufanya shambulizi la ngumi na kilichosikika ni kitu kugongana na kioo cha gari aliokuwepo Yulia , isingekuwa uwezo wake wa hali ya juu basi pengine Yulia angekufa palepale maana yule ninja alikuwa ashajiandaa kumshambulia.
Umakini wa Hamza ulimuwezesha kuwadhibiti maninja wote watatu , huku wa mwisho akijimaliza yeye mwenyewe baada ya kuona kazidiwa.
Hamza wala hakujali kujiua kwao , alichofanya ni kuchana sehemu ya bega na mkono kuangalia mchoro wa Tatoo.
Maninja wote walionekana kuwa weusi na jambo hili lilimfanya Hamza kushangaa kidogo na aliamini lazima kuna uwezekano mafunzo wameyapatia nje ya nchi.
Kilichomfanya Hamza kutogundua chochote na kuona hawa sio maninja wanaomilikiwa ni mara baada ya kuona kila mmoja alikuwa na Tatoo yake, kama wangekuwa wanamilikiwa wangekuwa na Tatuu zinazofanana.
“Hawa ni wakina nani , kwanini wamekuja kuniua?”Aliongea Yulia mara baada ya kumsogelea Hamza.
“Unaniuliza mimi tena , wewe ndio unatakiwa ujibu , imekuwaje mpaka ukajiingiza kwenye matatizo mpaka ukakodiwa watu wa namna hii?”
“Unajua wanatokea wapi?”
“Hawana chata lolote , ni ngumu kujua ila kuna makundi ya Kininja ya daraja B duniani ambao hawapigwi Chata licha kuwa chini ya umoja , wakipewa misheni wanapewa jina la Strayed Ninja’s au Strayed Assassin, wanakuwa na uwezo wa hali ya juu na kazi yao kubwa ni kuua watu wazito na hata wakikamatika isijulikane wametokea kundi gani”Aliongea.
“Kwahio hawa ni Strayed Ninja?”
“Ndio , imekuwaje mpaka ukakodiwa watu wa namna hii?”
“Mimi najua wanatokea wapi , nina maadui kibao , halafu wewe ndio umesababisha , nani kakuambia umzimishe bodigadi wangu”Aliongea na kumfanya Hamza asijuie acheke au alie.
“Yaani bado unanilaumu , hata kama bodigadi wako angekuwa na fahamu asingeweza kuwashinda , Maninja hawafundishwi kupigana bali wanafundishwa namna ya kuitega shabaha na kuua, hivyo kama mwanajeshi wako amefundishwa vita ataweza vipi kutegua mitego ya kininja”
Yulia aijihisi kuogopa kidogo hakuwa na utaratibu wa kutembea na mabodigadi wengi na ukweli kama asingekuwepo Hamza basi ingekuwa swala lingine.
Jambo hilo lilimfanya kutaka kwa namna yoyote Hamza kuwa mtu wake wa karibu ili apate kuwa salama.
“Kwanini umeniokoa , ungewaacha tu waniue si ingekurahisishia mambo mengi”Aliongea Yulia.
“Sina utaratibu wa kuazima kisu kwa ajili ya kuua mtu , nikitaka ufe nakuua mwenyewe”
“Kumbe , mbona naona kama unanipenda?”Aliongea huku akiweka mapozi na kumfanya Hamza kukakamaa , ukweli hakutaka kuona mwanamke mrembo kama huyo akipata matatizo , aliona ingekuwa hasara.
“Naona ugonjwa wako wa akili ushaanza kuchukua nafasi”
“Nini!!?”
“Unajiona unapendwa na kila mtu , huo ni ugonjwa dada yangu”
“Lazima nitakutibitishia unanipenda , wewe ngoja uone , mimi Yulia hakuna mwanaume anaeweza kuruka mtego wangu, Hamza nakuambia wewe huna utofauti wowote na mimi , wewe ni mkatili ambae huwezi penwa na mwanamke wa kawaida”
“Fanya unachotaka”
“Kwaho ndio unaniacha , vipi kama kuna maninja wengine”
“Si umesema wewe ni mtoto wa familia nzito bwana , wapigie simu waje wakulinde , mpenzi wangu ananjaa na ananisubiri “Aliongea Hamza na kuendelea kupiga hatua kuondoka.
Yulia aliishia kumwangalia Hamza kwa mbali akipotelea nje na aliishia kupindisha midomo yake.
“Tutaonana muda si mrefu , ili mradi wewe ni mwanaume rijali nitakuonyesha namna ulivyodhaifu mbele ya mwanamke kama mimi”Aliongea.
******
Hamza alimrudia Eliza ambae alikuwa amesubiri muda mrefu mpaka anaanza kuchoka , baada ya kuingia kwenye gari aliulizwa alikuwa wapi na Hamza alitoa sababu ya uongo na kweli ili mradi kumtuliza Eliza.
Licha ya Eliza kujua Hamza kuna kitu alichokuwa akifanya hakutaka kuuliza zaidi , isitoshe alikuwa na njaa.
Wawili hao mara baada ya kutoka ndani ya eneo hilo Hamza hakuona sababu ya kuendesha kurudi Bagamoyo kwani ni mbali hivyo alielekea Msata mjini kwa ajili ya kutafuta mgahawa kupata chakula cha mchana.
Mara baada ya kupata mgahawa uliokuwa na mazingira mazuri waliweza kuingia na kisha kuagiza chakula.
Wakati wanakula Hamza alikuwa akiwaza namna ya kumuelezea Eliza juu ya swala la kufunga ndoa feki na Regina , hakutaka kuendelea kumdanganya Eliza lakini hakujua pa kuanzia.
Wakati akijiweka sawa ili kumuambia, simu yake ilianza kuita na alipoangalia aliekuwa akipiga ni Regina na alipokea haraka haraka licha ya kushangaa kuna nini mpaka Regina kuanza kumpigia.
“Bosi kuna tatizo?”Aliongea Hamza.
“Uko wapi?”
“Tupo Msata Mgahawani tunapata chakula cha mchana na Eliza”
“Mmefanikiwa kutoka salama?”
“Ndio , tena usiwe na wasiwasi hata hela tumepata , kazi kampuni iliotutuma imemalizika”Aliongea Hamza.
“Mzee Laizer alikuwa tayari kulipa”
“Ndio , dawa ya deni ni kulipa , kwanini asilipe”Aliongea Hamza , upande wa pili licha ya Regina kuwa na maswali mengi lakini hakuuliza.
“Fanyeni muwahi kurudi , jioni bibi anataka kuonana na wewe”Aliongea Regina na sasa hapo Hamza alijua kwanini Regina alipiga na alikubali na kukata simu.
“Huyo ni Bosi?”
“Ndio , anasema tuwahi kurudi”
“Ah.. ndio maana niliona bora usingekuja , hupaswi kumfanya Regina kuwa na wasiwasi , hupaswi kufanya hivyo kabisa…”Aliongea Eliza huku akiwa na hali ya aibu.
“Huku tumekuja kikazi Eliza na si vinginevyo , hata hivyo tuachane na Regina , kuna kitu nataka nikuambie , ni kuhusu mimi na Regina…”
“Haina haja , najua mmefunga ndoa”Aliongea Eliza licha ya kwamba alikuwa akionyesha tabasamu lakini ilikuwa ni dhahiri anavyojisikia ni tofauti na alikwepesha macho yake kuangaliana na Hamza.
Kauli ile ilimfanya Hamza mapigo yake kuongezeka na hali ya kutokuwa na furaha ilimvaa mara moja , kile ambacho alikuwa akiwazia Eliza kuonyesha utofauti kumbe ilikuwa ni hili swala , lakini hata hivyo aliona Eliza alikuwa bingwa wa kuficha hisia zake.
“Eliza nani kakuambia , Ni Regina ?”Aliuliza Hamza na aliamini kama kweli ni Regina basi atakuwa amemkatili.
Uadhani Yulia ni wa familia gani , Vipi Eliza kaambiwa na Regina au kuna mtu mwingine
Comments