Reader Settings

Tajiri la kihaya

Saa moja kamili , Hamza na Prisila walionekana ndani ya eneo la Sinza , mbele ya club maarufu sana katika eneo hio inayofahamika kwa jina Silver Chair.

Haikuwa club maarufu tu kwa bahati mbaya , ila ni kutokana na namna ambavyo ilikuwa ikimpa hadhi kila mteja ambae alifika kupata huduma hapo. Kwa lugha nyingine ni kwamba club hio ilikuwa ikimpa …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next