Reader Settings

"Nadhani inakuwa ngumu kwenu kudhania, lakini ndio ukweli. Kiongozi wetu wa ukoo anasema sisi ni taifa , lakini hatuna kiongozi wa taifa. Kiongozi wa kabila mwenyewe anateuliwa na kila kijiji na wazee wa ukoo wanatoka katika familia katika kila kijiji cha ukoo wetu"

"Kila kijiji mbona sijaelewa hapo"Aliongea Regina.

"Nilikuambia kabila letu lilitawanyika tukiwa nchini Zimbambwe na tuna historia ndefu sana , kulingana …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next