Ukweli ni kwamba Airami hakujilinganisha mara nyingi na wanawake wengine kwa sababu, kati ya wanawake wote aliowahi kukutana nao, hawakuwa wazuri kama yeye. Ila, mara baada ya kumuona Regina, ambaye pia hakuwa na mshindani, licha ya kwamba walikuwa wametofautiana rangi ya ngozi zao, Airami alijikuta akishindwa kujizuia na kujilinganisha na Regina.
Wanawake hao waliangaliana kwa muda mrefu kidogo na kugundua kwamba walikuwa wakifanana katika vitu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments