Hamza aliona suala hilo; kwa namna yoyote ile Airami alivyojitahidi kuongea au kudhihirisha, Oleg hakutaka kuamini kabisa, na msimamo wake ulibaki vilevile.
“Kapteni, kama kweli Mfalme wa Udachi ndiye aliyekuagiza kuja kumchukua, na sio tu mwakilishi mwingine, ni kwa sababu alikuamini unaweza kumrudisha Princess, si ndiyo?” aliuliza Hamza.
“Ndiyo kabisa! Isitoshe, wewe ndiye mfalme wa kuzimu. Haingekuwa rahisi kwa mtu wa kawaida kuja kulimaliza hili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments