Reader Settings

Simulizi: Utamu wa Shemeji

Sehemu ya Kwanza

Nilifika kwa shemeji yangu jioni ya Ijumaa, nikitokea Mwanza. Nilibebwa na mdogo wake mke wangu — Rahma — ambaye ndiyo alinialika kwa sherehe ya sendoff ya dada yake.

Tulipofika nyumbani kwao Tabata, nyumba ilikuwa kimya. Rahma alifungua mlango, akanigeukia na kusema,

"Shemeji, wameenda ku-check ukumbi... lakini unaweza kuoga kwanza upumzike, nilikuandalia chumba."

Alinitembeza hadi chumba cha wageni. Nikaanza kubadilisha nguo, nikiwa sijajua kama macho yake bado yananitazama nyuma ya mlango wa uwazi kidogo.

"Nikuletee maji ya kuoga au upike mwenyewe?" aliuliza kwa sauti ya madaha, huku akiingia taratibu.

Sauti hiyo ilinivuruga. Nikamgeukia. Rahma alikuwa amevaa dera refu lakini mwembamba, liliweka wazi umbo lake maridadi kama sanamu ya Kiafrika. Alinisogelea na kuchukua taulo kwenye begi langu bila kunipa muda wa kusema. Aliposimama karibu sana, nilihisi joto lake likikamata anga ya chumba.

“Shemeji... unajua, ulikuwa tofauti kwenye picha. Lakini huku uso kwa uso... kuna utamu wa hatari.”

Nilitaka kucheka, lakini macho yake hayakuwa ya utani. Kulikuwa na ujasiri wa ajabu, ule ambao mwanamke huuva pale anapojua anachokitaka. Kabla sijasema neno, alinyosha mkono na kuushika mkono wangu.

"Rahma... mimi ni shemeji yako," nilijaribu kutoa hoja ya kistaarabu.

Akatabasamu polepole, “Na shemeji anastahili ukarimu wa kipekee.”

Alinisukuma taratibu hadi ukutani, akiinua uso wake kukaribia wangu. Harufu ya mafuta yake ya mwili ilinichanganya akili. Midomo yake iliigusa ya kwangu kwa hisia ya taratibu, laini, ya kuchokoza.

Ilikuwa kama umeme. Giza la chumba, joto la miili yetu, na uamuzi wa kupoteza udhibiti vilianza kuchora sura ya usiku usiosahaulika.

Next