Reader Settings

Oleg alionekana kama kiboko kwa namna alivyokuwa akitumia nguvu na mwili wake ulivyo mkubwa. Lakini licha ya hivyo, spidi yake ilikuwa ya ajabu kwenye kushambulia na kupangua na upanga wake.
Hamza alikuwa akitumia mashambulizi ya kusudi, kuongeza nguvu ya upanga wake. Vilevile, Oleg alikuwa akitumia uchawi wake wa maji kuipa nguvu silaha yake.
Ingawa nguvu yake ya maji haikuwa na ukubwa kulinganisha na nguvu ya kusudi ambayo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next