Hamza mara baada ya kuwasindikiza Oleg, alirudi zake ziwani na kuungana na warembo wake ambao tayari walikuwa wakiinjoi.
“Dada angalia umeunguza, mbona nyama imekuwa nyeusi hivyo?”
Aliongea Irene ambaye alikuwa ameshikilia kipande cha nyama kilichokuwa na sura nyeusi. Alikosa usemi kabisa namna Regina alivyokichoma.
Regina hata yeye aliingia jikoni, mara baada ya kuona Eliza na Prisila wanafanya vizuri kwenye kurosti nyama, na yeye aliona hapaswi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments