Utamu wa Shemeji
Episode ya 7
Usiku uliokuwa umetanda ndani ya nyumba haukuwa wa kawaida. Mwanga wa taa ya sebuleni ulitoa kivuli cha hatia, na kila kelele ya vuli nje ilikuwa kama kengele ya mwisho kwa ndoa yangu. Miriam alikuwa sebuleni akizungumza na wageni, lakini macho yake yalikuwa yanaiba kunitazama kila baada ya sekunde chache.
Rahma alipita mbele yangu kwa madaha, akiwa amevaa night dress laini iliyobana mwilini mwake kama ngozi ya pili. Aliponipita, alikusudia kunigusa kwa paja lake. Mvuke wa mapenzi ulinipanda. Lakini nilijitahidi kujizuia. Ilikuwa hatari.
Baada ya wageni kuondoka, Miriam alinifuata chumbani. Aliketi kitandani kimya, macho yake yakikodolea sakafu.
“Leo ulikuwa tofauti,” alisema. “Hata sauti yako ni kama mtu aliyefanya kazi ngumu sana.”
Nilijifanya kucheka. “Ah, nadhani stress za harusi tu.”
Lakini moyo wangu haukuwa na utulivu. Nilijua Miriam alikuwa anahisi jambo. Hakuwa mjinga. Alinijua vizuri kuliko mtu mwingine yeyote.
Usiku huo, Rahma alinipigia simu saa nane usiku.
“Shemeji, toka nje kidogo. Nataka kukuonyesha kitu.”
Nilipovaa suruali ya haraka haraka na kutokea nje, nilimkuta amesimama kwenye kona ya nyumba, amejifunga kaniki moja tu — mnyororo wa tamaa ukiwa shingoni.
“Shemeji, sitaki tena kuomba. Kuanzia leo, nataka uwe wangu rasmi. Nikiona tu unakataa, kesho asubuhi dada yangu anaambiwa kila kitu.”
Alinivuta kwa nguvu kifuani mwake, akanibusu mdomoni kwa haraka, kwa moto — kwa uchu. Kisha akaninong’oneza:
“Leo nitakufanya umwone mke wako kama dada tu. Leo nataka tukafanye kwenye storoo, juu ya magunia ya mpunga.”
Tulipenya ndani ya stoo kwa tahadhari. Humo kulikuwa na giza, joto na harufu ya gunia. Lakini yote hayo yalifutika pale nilipomvua kaniki yake, akabaki uchi mbele yangu. Mwanga wa tochi ya simu yake uliangaza sehemu zake za siri, nikaziona zikimetameta kwa jasho la hamu.
Tulilalana juu ya magunia. Rahma alikuwa moto kuliko kawaida. Aliingia juu yangu, akichezesha kiuno kama malkia wa raha. Aliinamia kifua changu, akalamba kila sehemu. Akateremka hadi chini, na pale… ooh… alifanya vitu ambavyo hata Miriam hajawahi kujaribu. Nilihisi kama nipo mbinguni huku nikiwa motoni.
Dakika ziligeuka saa. Tulimaliza mara mbili kabla sijasikia mlango wa nyumba ukifunguliwa kwa nguvu. Miriam alikuwa ameamka. Nilishtuka, nikavaa haraka na kutoka stoo kwa nyuma, nikazunguka hadi mlango wa mbele kana kwamba nimetoka nje kukohoa tu.
Miriam alikuwa amesimama sebuleni, akaniuliza: “Mbona hujalala?”
“Nilisikia kiu, nikatoka nje kupunga hewa,” nilijibu huku nikijifuta jasho la hatia.
Alinikodolea macho, akasema, “Leo umekuwa kimya sana. Hata huongei na mimi kama zamani.”
Nilimkumbatia kwa nguvu, lakini ndani yangu nilikuwa najua: maisha yangu sasa yanazungukwa na bomu la tamaa linalosubiri kulipuka.
Lakini je, nilikuwa tayari kuliachilia pendo hili la haramu? Au tamaa ilikuwa imenifunga kwa mnyororo ambao siwezi kuukata?
Comments