Reader Settings

Ndani ya mpango wa kivita

Hamza mara baada ya kupandisha kwenye lift kuelekea katika ofisi ya CEO, ile tu lift inafunguka ili kutoka, aliweza kumuona Aroni na mwanaume mwingine mlinzi wakitoka kwenye ofisi ya Mkurugenzi.

“Mambo vipi bro? Naona ndio unafika?”Aliongea Aron akisalimia lwa uchangamfu mkubwa.

“Na nyie ndio mnatoka kwenye kikao cha asubuhi asubuhi?”Aliuliza Hamza.

“Bro hebu acha kutania kwa levo zetu …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next