Reader Settings

Utamu wa Shemeji

Episode ya 13

Nikiwa bado nimeshika ile flash mkononi, nilibaki nimekaa kwenye kochi, mwili hauna nguvu, akili imevurugika. Sauti ya yule msichana kwenye simu bado ilikuwa ikirindima masikioni mwangu: “Shemeji, naitwa Nasma… rafiki wa karibu wa Rahma. Tuna mengi ya kuzungumza.”

Nilishindwa kuelewa huyu Nasma ni nani tena, na alitaka nini kwangu hasa. Sikupiga wala kupokea simu yoyote ile …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next