Saa tano mchana, siku moja baada ya tangazo rasmi la kifo cha Imran, simu ya mezani ya Zara ililia kwa mfululizo kwa mpigo wa kipekee, ile taarifa ya moja kwa moja kutoka nambari iliyoifadhiwa kama “Dkt. Lillian M.”
Zara alikuwa jikoni, akiosha kikombe cha kahawa ambacho hakikutumika. Mikono yake ilikuwa na majimaji, lakini hakuikimbilia simu. Alisimama, akafuta mikono taratibu kwa taulo jeupe, kisha akainua …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments