Reader Settings

Baada ya Damiani kumaliza mahojiano ya kazi, alitoka akiwa amepewa maelekezo kwamba majibu yatatolewa ndani ya siku kumi zijazo, ikibainika kama amepata kazi au la.

Aliondoka moja kwa moja kutoka eneo hilo na kupanga kusafiri kuelekea Tanga siku hiyo hiyo, kwani muda ulikuwa unaruhusu. Saa sita kamili alikuwa ndani ya basi la Mining Nice akielekea Lushoto. Alikuwa na nusu tumaini la kupata ajira, kwani ingawa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua