Reader Settings

Saa mbili usiku, nyumba ilikuwa kimya, na taa pekee iliyowaka ilikuwa ile ya ofisi ndogo ya chini ya ngazi, chumba ambacho zamani kiliitwa "sehemu ya kumbukumbu." Ndani yake kulikuwa na masanduku matatu ya mbao, yenye lebo za plastiki zilizokwishafifia:
HARUSI | BARUA BINAFSI | TRAVEL DOCS

Zara alisimama mbele ya sanduku la pili: BARUA BINAFSI. Akainama taratibu, akalivuta nje. Alilifungua kana kwamba anafungua jalada la kesi, …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next