Reader Settings

Saa saba usiku. Mtaa mzima wa Mikocheni ulikuwa kimya kana kwamba hakuna aliekuwa macho mda huo. Kwenye kila nyumba hakukuwa na sauti za redio, televisheni, wala sauti ya chochote isipokuwa sauti ya kalamu ya Prof Zara ikiandika polepole ndani ya journal lenye jalada la ngozi.

Zara alikuwa ameketi kwenye meza yake ya ofisi, taa ya pembeni ikiwa imekoleza kivuli usoni mwake. Mkono wake wa kulia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next