Saa tano asubuhi. Sauti za ndege hazikusikika tena kwenye mti wa mkomamanga. Bustani ilikuwa imetulia kama nyumba ya makumbusho, maua yakiwa yamefunikwa na jua lisilo na joto.
Zara aliamka bila kengele ya alarm. Hakushtuka. Hakufungua mapazia. Alitembea hadi jikoni akiwa bado amevaa gauni lake la hariri la kulalilia, nywele zikiwa zimefunguliwa na kufanya ziburuzike mgongoni mpaka sehemu ya juu ya makalio. Profesa alikuwa ana uzuri …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments