Hamza alijifikiria kwa sekunde na palepale alipata wazo juu ya kitu cha kufanya.
“Shangazi usiwe na wasiwasi , ngoja nimtafute Regina”Aliongea Hamza na kauli yake ilimfanya Shangazi kujua kuna kitu kimetokea.
“Hamza huu ni muda wa dharula kwa familia na Kampuni ya Dosam , kwasababu ya kukaa hospitalini nnimeshindwa kuwa karibu na Regina , lakini wewe ni mume wake kisheria hivyo unapaswa kumlinda na kuhakikisha …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments