Mzee Tui aliona kabisa kuna kitu ambacho hakipo sawa , kwasababu aliagiza vijana wake walete gari ambayo haijatumika ndani ya ardhi ya Tanzania , sasa kitendo cha gari kuonekana kuharibika pasipo chanzo alijikuta akishangaa.

“Nyie, mliangalia hii gari kabla ya kuichukua?”Aliuliza.

“Bosi haiwezekani , hii gari tumeitoa karakana kabisa na hata namba tumebandika wenyewe”Aliongea Dereva akitingisha kichwa na palepale akili yake ilimwambia au …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next