Reader Settings

Regina alikuwa katika mshangao maana ilikuwa ni mara yake ya kwanza kumuona Shangazi kuwa na uwezo wa kuzimisha watu wenye mafunzo ya kininja.

Asichokijua Regina, Shangazi alikuwa ni mwanajeshi na yupo kwenye maisha yake si kama shangazi yake bali kama mlinzi wake kwa ajili ya kulinda nafsi nyingne iliolala ndani yake.

“Shangazi umefikaje hapa?”Aliuliza Regina akiwa na mshangao.

“Hata kama wakubwa wa familia …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next