“Hey Rafiki yangu Tui, kwannini unaonekana kama kituko?”Aliongea mwanaume wa kirusi aliekuwa na mindevu mingi huku akiwa ameshikilia kiko, kichwani akiwa amevaa kofia ya kijeshi iliochakaa na kuchanika.
“Kenny naomba nikusumbue awamu hii , kwasababu ya hawa wapuuzi watatu misheni niliokuwa nikifanyia kazi Tanzania imevurugika”Aliongea Tui kwa kingereza safi.
“Hahaha..come up!, it wasn’t first time anyway”Aliongea kwa kinegereza akimwambia apande juu maana hata hivyo sio …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments