Ilikuwa ngumu sana kujua kama Hamza msisimko wake ulikuwa ukisababishwa na nguvu za kichawi au nishati za mbingu na ardhi , lakini kitu kimoja ambacho ni uhakika msisimko aliokuwa akitoa ulifanya watu watetemeke bila ya kujijua.
“Nishamuondoa msumbufu tayari, kama mnataka ni kheri mkijimaliza wenyewe kuliko kunisumbua maana itakuwa afadhali kwenu”aliongea Hamza akipiga hatua kumsogelea Mzee Tui.
“Muueni..”Wanajeshi wale wa kiharamia walipewa oda ya kumfayatulia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments