Reader Settings

Ikiwa ni saa moja na nusu kuelekea saa mbili kamili alionekana Kanali Dastani akiingia katika jengo la makazi la Dosam Homes eneo la mji wa kitajiri Dar es salaam.

Kitendo cha kuingia katika mazingira ya jengo hilo hisia zake zilikuwa nzito kutokana na taarifa za kifo cha aliekuwa mmiliki wa kampuni ya Dosam ambao ndio wamiliki wa jengo hilo la makazi namba moja Afrika mashariki …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next