Hamza, mara baada ya kusikia kauli hiyo, alijikuta akikakamaa kwa sekunde kadhaa kabla ya kuuliza:
“Ni nani wamezingira na kwa sababu gani?”
“Ni makombora manne ya BGM, meli ndogo kadhaa za BGM, pamoja na meli kadhaa za aina ya amphibia. Aina hii ya zana za kivita huashiria uwepo wa jeshi la Marekani na si kundi la kigaidi tu. Sijapata muda …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments