Reader Settings

Tresha alimwangalia mdogo wake kwa macho yaliojaa maswali na alitaka amwelezee alikuwa akimjua vipi Hamza , haikuwa kwake tu , hata kwa Kanali Dastani ilikuwa hivyo hivyo.

“Hamza kabadilika jamani , sio yule alienipigia magoti akinitaka”Aliongea Anitha huku akikuza pIcha ya Hamza kuikagua kama vile hakuwahi kumuona hapo kabla.

“Hamza amekupigia magoti kwa kukutaka, Anitha hebu kaa kwanza chini na utuambie unamjua vipi Hamza na …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next