Reader Settings

Jimmy alianza kutembea kuzunguka kijiji hiko maeneo mbalimbali pengine kutakuwa na raia waliojificha wakisubiri msaada.

Baada ya kuzunguka huku na huko katika kijiji hicho aliweza kufika sehemu yenye uwanja mkubwa wa nyasi zenye urefu wa inchi kumi na upande wa mbele ambapo uwanja huo unaishia umbali wa kama mita mia moja kulikuwa na miti mingi mirefu na bila shaka ukitokomea kwenye miti hiyo ni sawa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next