DOSARI
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Uhalifu, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA KUMI NA MBILI
★★★★★★★★★★★★★★★★★
Kukakucha. Mapema sana asubuhi hii, Josephina aliamkia kupokea simu ya mtu ambaye alimpatia taarifa isiyopendeza kwake hata kidogo. Kuna utaratibu wa mambo kwenye biashara yake uliokuwa umekiukwa, na hapa ni moja kati ya wateja …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments