Reader Settings

Hamza aliishia kumwangalia mke wake kwa hisia na kisha akaongea;

“Sikutarajia mbinu zako mke wangu zitakuwa za akili kubwa namna hii”

“Ni kwasababu ufanisi wa Helena ni wa juu mno. Mwenyewe sijawahi kudhania Masenari kama yeye anaweza kuwa mfanisi namna hii kulinganisha na majasusi wa kawaida”Aliongea Regina.

“Wife usidhani kila masenari anaweza kuwa na uwezo mkubwa , Helena yeye alikuwa ndio moja ya …

Mchangie mwandishi kwa kuifungua na sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next