“Kigezo knachoangaliwa ni kushinda na kushindwa”Aliongea Hamza.
“Unamaanisha nini?”
“Inamaanisha kwamba kundi linaangaliwa lilipigana vita vingapi au wamekamilisha misheni ngapi na kushinda au kushindwa na ndo maksi zao hupatikana , kwa mfano chukulia kama wewe ni mtu na umeua watu kumi , maksi zako zitahesabiwa kama moja kwa kumi , ukiua mia ziitahesabiwa moja kwa mia hivyo hivyo na kuendelea , huu ni mfano tu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments