Haikuwa rahisi kwa Regina kuondoka ndani ya eneo hilo amuache Shangazi yake , Familia yake yote ilikuwa imekwisha kutangulia mbele za haki na mtu pekee ambae alikuwa ni mwanafamilia alikuwa ni Shangazi na kama atauliwa na huyo mtu ingekuwa ngumu mno kwake kukubaliana na swala hilo.
“Naomba uache , Mzee Suwi sikujui wewe ni nani , lakni naomba uache unachokifanya tafadhali”Aliongea Regna lakini bwana alieitwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments