Reader Settings

Ni ndani ya treni iliyokuwa ikielekea mikoa ya magharibi mwa Tanzania. Ndani ya daraja la pili, kulikuwa na nusu ya abiria pekee waliokuwa wamejaza viti katika eneo hilo.

“Kuna chakula hapa baba. Tuna keki, soda na maji... kuna chochote ungependa?”
Alikuwa ni mhudumu wa treni hiyo, akipitisha chakula kwa abiria akiwa na kitoroli.

Mhudumu huyo alisimama pembeni ya mwanaume mwenye mwili uliodhibitika kwa mazoezi, aliyevalia koti …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next