Reader Settings

“Tunaweza kukubali na kuyatoa kafara maisha yetu, lakini vipi kuhusu watoto wetu? Vipi kuhusu watu wanaoishi nasi hapa kisiwani na familia zao? Nani atawalinda?” aliendelea kuongea Asmuntis.

“Kuhusu hili... shenzi kabisa... tunafanya nini sasa?”

“Kama Murphy angekuwepo hapa… Zamani, wakati bosi hayupo, yeye ndiye alikuwa mtu muhimu sana katika nyakati kama hizi za kufanya maamuzi,” aliongea Mameni huku akikunja mgongo kwa wasiwasi.

“Murphy kwa sasa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 2 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next