Reader Settings

"Kuna nini kw.." kabla hata hajamaliza sentensi yake Jimmy alimsogelea haraka na kumuwekea mkono mdomoni huku kwa haraka akimvuta na kujificha nyuma ya mlango

"Sshhh" alinong'ona huku akimkazia macho msichana yule wa kizungu

Msichana yule pia alikuwa akimuangalia Jimmy usoni na alimtii huku akitulia tuli, ukweli mwanamke huyo alibarikiwa kuwa na sura nzuri sana na mashavu mamono pamoja na macho makubwa yenye kuvutia, kifupi alikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next