Wote, Silvia na Mikaeli walimwangalia Sally kwa macho ya maulizo mengi. Lakini licha ya kumchunguza, walishindwa kupata majibu ya haraka.
“Nadhani anajaribu kuvuta muda tu. Hillwei, unaonaje ukimfuata kule juu?” Mikaeli alipendekeza, lakini Silvia alikataa.
“Sally haathiriki kabisa na miujiza yangu kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa nguvu za kiroho. Hivyo hata nikienda siwezi kumfanya chochote. Nadhani itakuwa vizuri kwako, Black Angel, kwenda kumkamata,” …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments