Nguvu ya miujiza ililipuka ndani ya mwili wa Silvia alipokuwa akishambulia wale Strigoi. Ilikuwa ni shambulizi moja tu, lakini aliweza kuwadhibiti kwa ustadi wa hali ya juu.
Kulikuwa na tofauti kubwa ya nguvu kati yao, hivyo watu hao walishia kukimbia ili kuepuka mashambulizi yake, na kuifanya vita ile ionekane kana kwamba ilikuwa rahisi kwa Silvia.
“Pumbavu kabisa! Kama wale washikaji wasingekufa kwenye ile vita… tungekuwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments