Hata Regina alishangaa mara baada ya Shangazi yake kuongea kauli hio na alitaka kujua.
Upande wa shangazi alionekana kusita kuongea na aliishia kuvuta pumzi nyingi na kuzishusha.
“Ni kuhusiana na upande wa pili wa Regina”Aliongea Shangazi na kauli hio ilimfanya Edna kushituka.
“Shangazi!!”Aliongea Regina huku akionyesha shara asiendelee kuongea kwani ni kama alishajua Shangazi anataka kuongea nini.
“Unamaanisha juu ya Regina kuwa na split personality?”Aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments